MC Roma Event Logo
MC ROMA EVENT SMART WAY TO EVENT
Event Management
SMART WAY TO EVENT

Hakuna Wageni Wasiotarajiwa Ukumbini Mwako

Kila mgeni anathibitisha mahudhurio (RSVP) mapema na kuingia ukumbini kwa scan ya haraka ya QR Code kwenye simu yake.

Digital Invitations
DIGITAL INVITATIONS

Mfumo wa Kisasa wa Digital Invitation

Badili namna unavyoandaa sherehe yako. Tuma mialiko kupitia SMS/WhatsApp yenye QR Code na udhibiti vinywaji pamoja na wageni ukumbini.

Huduma Zetu Zinazotolewa

Tunakupa suluhu kamili na za kidijitali ili kufanya tukio lako liwe la kimataifa, lenye utulivu na la kiwango cha juu.

Digital Card Invitation

Unda akaunti ya tukio lako na utume mialiko ya kidijitali yenye QR Code moja kwa moja kwa wageni kupitia SMS au WhatsApp. Fuatilia RSVP, michango, na walioingia ukumbini kwa wakati halisi.

Tazama Maelezo

Usher Services / Wahudumu

Wasekuriti na ma-Usher wa kitaalamu na wenye muonekano wa kuvutia kwa ajili ya kupokea wageni, kuwaongoza kwenye viti, na ku-scan kadi za digital mlangoni kwa kasi na nidhamu ya juu.

Omba Ma-Usher

Service Provider Connection

Tunakuunganisha na watoa huduma bora na waaminifu kama vile Wapiga Picha (Photographers), Mapambo (Decorators), Ukumbi, Catering, na Sound System kwa ajili ya kufanikisha sherehe yako.

Jiunge au Unganishwa

Weka Oda ya Tukio Lako

Uwe unahitaji mfumo wa Digital Invitation au Usimamizi Mzima wa Tukio (MC & Coordination), chagua aina ya sherehe yako na tuanze maandalizi mara moja.

Kwa Nini Utumie MC Roma Events Digital Invitation System?

Tunarahisisha maandalizi ya tukio lako ili wewe ujikite kufurahia siku yako muhimu bila msongo wa mawazo.

Hakuna Kadi Kupotea

Kila mgeni anapata kadi yake moja kwa moja kupitia SMS au WhatsApp yenye QR Code.

Unajua Nani Atahudhuria

Wageni wanathibitisha mahudhurio (RSVP) mapema, hivyo unafanya maandalizi kwa idadi sahihi.

Fuatilia Michango kwa Urahisi

Pata taarifa za michango na ukumbusho wa michango bila kupiga simu kila mgeni.

Mialiko Inafika Haraka

Tuma mamia ya mialiko ndani ya dakika chache bila gharama kubwa za uchapishaji.

Ripoti za Wakati Halisi

Fuatilia waliochangia, waliothibitisha kuhudhuria na walioingia ukumbini kupitia Dashboard.

Tuma Location kwa Gusa

Wageni wanapata ramani ya ukumbi moja kwa moja kwenye simu zao.

Are You A Service Provider?

Je, wewe ni mpiga picha, mpambaji, Catering, au mmiliki wa ukumbi?

Ungana na mtandao wetu wa kitaalamu ili kupata tenda na wateja wapya. Pata tenda za uhakika, usimamizi wa malipo kwa uwazi na ongeza utambulisho wako nchi nzima.

Wasiliana Nasi

Ushauri wako ni muhimu katika kuboresha huduma zetu. Au wasiliana nasi kwa ajili ya kuweka oda ya tukio lako.

Mahali

Arusha, Tanzania

Simu

+255 627 757 472

Barua Pepe

mcromaevents@gmail.com

Wasiliana nasi

DOWNLOAD PACKAGE ZETU